Viongozi na wakaazi wa Kendu Bya wataka huduma za bandari zifufuliwe

  • | Citizen TV
    614 views

    Viongozi na wakaazi wa kaunti ya Homa Bay wanasema ipo haja ya kufufua bandari ya kendu Bay ili kuwezesha usafiri na kurahisisha biashara katika eneo hilo. Wakaazi wa Kendu Bay wanaamini kuwa hatua hii itasaidia kuimarisha hadhi ya mji huu wa Kale ambao sasa umesalia mahame.