Skip to main content
Skip to main content

Viongozi Trans Nzoia waitaka IPOA kuchunguza operesheni ya kukabiliana na magenge

  • | Citizen TV
    983 views
    Duration: 3:00
    Viongozi wa Kaunti ya Trans Nzoia wanaitaka halmashauri ya kutathmini utendakazi wa polisi Independent Policing Oversight Authority (IPOA) kufanya uchunguzi wa kina kuhusu operesheni inayoendelea kunasa magenge ya wahuni katika eneo hilo. Viongozi hao wanadai kuwa operesheni hiyo haiendeshwi kwa mujibu wa sheria na kwamba inakiuka haki za kimsingi za wananchi. Na kama anavyoarifu Collins Shitiabayi, maafisa wawili wakuu katika ofisi ya Gavana wa Kaunti ya Trans Nzoia George Natembeya walikamatwa jana kwa tuhuma za kuhusika na uhuni.