- 15,775 viewsDuration: 1:25Aliyekuwa Makamu wa Rais nchini Kenya Rigathi Gachagua anasema Kenya si Tanzania au Uganda na kamwe hatazima azma yake ya kuwania urais. Amezungumza mtangazaji Kinara wa BBC @roncliffeodit #bbcswahili #kenya #AfrikaMashariki Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw