Viongozi wa Afrika watangaza sitisho la mapigano mashariki ya DRC kuanzia Ijumaa

  • | VOA Swahili
    5,650 views
    Viongozi wa Afrika wametangaza sitisho la mapigano mashariki ya Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo kuanzia Ijumaa. - Mwakilishi mwengine wa Afrika kwenye Kombe la Dunia Cameroon aanza vibaya kwa kufungwa goli moja kwa bila na Switzerland - - - - - #VOASwahili Sauti ya Amerika - Idhaa ya Kiswahili inawafikia zaidi ya watu milioni 100 wanaotembelea tovuti, mitandao ya kijamii, radio na televisheni zetu. Tunawasilisha maudhui kuhusu Afrika Mashariki na Kati kwa nchi takriban 11 huko Afrika na wale walioko ughaibuni na kwingineko duniani. Vipindi vyetu vimejikita katika maudhui mbalimbali ikiwemo habari, vijana, wanawake, siasa, sayansi, teknolojia, afya, biashara, michezo, muziki na burudani na pia tunawashirikisha wasikilizaji wetu.