Viongozi wa Azimio kutoka mlima Kenya wasema Rais Ruto anazindua miradi ya serikali iliyopita

  • | Citizen TV
    12,305 views

    Viongozi kutoka mlima Kenya wanaoegemea mrengo wa Azimio wamemshtumu Rais William Ruto kwa kile wamekitaja kama kuzidua miradi isiyo ya serikali yake katika eneo la mlima Kenya. Wakiongozwa na kinara wa Narc kenya Martha Karua, viongozi hao wanasema serikali ya Kenya Kwanza wamepoteza mwelekeo huku wananchi wakiendelea kutatizika na gharama ya juu ya maisha.