Viongozi wa Azimio Pwani wanataka mkataba wa utendekazi na serikali

  • | K24 Video
    99 views

    Viongozi wa kisiasa chini ya muungano wa Azimio ukanda wa Pwani wameshinikiza kubuniwa kwa mkataba wa utendakazi na serikali kuu ili kufanikisha ushirikiano wa maendeleo pasipo kuingilia misimamo ya vyama na pande tofauti za kisiasa. Wanasema hatua hiyo itawapa nafasi wakaazi kunufaika na miradi inayolengwa kutekelezwa na serikali kuu ili kunufaisha wananchi.