Viongozi wa Azimio wampigia debe kinara wa Azimio Raila Odinga Mlima Kenya

  • | K24 Video
    328 views

    Muungano wa Azimio umewashtumu wapinzani wa Kenya Kwanza na kuwataja kama viongozi wanaojitakia makuu tu bila kuwajali wakenya. Katika siku ya pili ya kampeni katika eneo la Mlima Kenya, viongozi hao wamewarai wameru wasikubali kuwa nje ya serikali huku wakimpigia debe kinara wa Azimio Raila Odinga kama mtetezi wa wanyonge .