Viongozi wa Azimio wamtaka Gachagua akome kumkosea heshima kinara wao Raila Odinga

  • | K24 Video
    72 views

    Viongozi wa muungano wa azimio wamemtaka naibu rais Rigathi Gachagua akome kumkosea heshima kinara wao Raila Odinga. Kwa upande wake , Raila Odinga amemtaka rais kukoma kuwarai magavana kuungana na serikali. Odinga aidha amemtaka Kalonzo Musyoka kuwa makini na kukatisha mazungumzo pindi anapoona dalili za Kenya Kwanza kutomakinika na mazungumzo hayo