Viongozi wa Azimio waongoza ukumbusho nchini

  • | Citizen TV
    3,689 views

    Viongozi wa upinzani leo wamewaongoza wafuasi wao kuwaomboleza waathiriwa wa maandamano yao ya kupinga serikali.