Viongozi wa Azimio wazindua kundi la kisiasa la 'Kamwene'

  • | K24 Video
    69 views

    Viongozi wa Azimio kutoka eneo la mlima kenya sasa wamezindua kundi la kisiasa la Kamwene unaopania kuunganisha wakazi wa kaunti kumi na nne za mlima Kenya ikiwemo wanaoishi mataifa ya nje ili kuwa na sauti moja kisiasa. Wakiongozwa na kinara wa NARC Kenya Martha Karua hata hivyo wamesema hatua yao haitapelekea Azimio kupasuka huku wakipuuza suala la Kalonzo Musyoka kuidhinishwa na Raila Odinga kuwania urais 2027