Viongozi wa chama cha madaktari KMPDU tawi la Kaskazini mwa Bonde la Ufa washinikiza mishahara bora

  • | Citizen TV
    385 views

    Viongozi wa chama cha madaktari KMPDU tawi la kaskazini mwa Bonde la Ufa wanashinikiza mishahara bora wakisema gharama ya maisha imezidi kupanda. Madaktari hawa pia wanapinga kutekelezwa kwa sheria ya fedha iliyoidhinishwa mwezi jana na Rais William Ruto.