6 Aug 2026 10:40 am | Citizen TV 1,209 views Duration: 2:20 Viongozi wa chama cha National Restoration Movement wakemea ongezeko la vurugu za kisiasa katika mikutano ya kisiasa nchini, wakiomba kila mkenya mwenye azma ya uongozi kupewa fursa kuuza sera zake kwa wananchi.