Viongozi wa D.A.P-K wamtaka Eugene Wamalwa kumuachia gavana Natembeya uongozi wa chama hicho

  • | NTV Video
    4,369 views

    Baadhi ya viongozi wa chama cha D.A.P-K katika Kaunti ya Trans Nzoia sasa wanamtaka kinara wa chama hicho, Eugene Wamalwa, kumuachia Gavana wa Trans Nzoia, George Natembeya, uongozi wa chama hicho wakidai gavana huyo ana nafasi bora ya kukiendesha.

    Subscribe and watch NTV Kenya live for latest Kenyan news today and everyday as told by Kenyans. Get the Kenya news updates, discussions and other exciting shows.

    Website: https://www.ntvkenya.co.ke || Paper: Daily Nation || Twitter: @ntvkenya || Facebook: NTV Kenya || Instagram: NTV Kenya