- 9,176 viewsDuration: 1:10Viongozi wa chama cha DCP kinachoongozwa naye aliyekuwa Naibu Rais Rigathi Gachagua tawi la Nakuru wameendelea kukashifu onyo la waziri wa usalama Kipchumba murkomen na kuwarai wananchi kudumisha amani na hali ya utulivu na pia kuwarai wasiharibu mali na biashara watakapomkaribisha Gachagua. Gachagua anatarajiwa kurejea nchini hapo kesho baada ya kufanya ziara katika nchi za Marekani.