Viongozi wa dini Kajiado wapinga wito wa kudhibiti makanisa

  • | Citizen TV
    239 views

    Baadhi ya viongozi wa dini huko Kajiado wamepinga wito wa kudhibiti makanisa wakitaka mchakato huo kufanywa chini ya mashirika ya dini za kikristo kama NCCK.