Viongozi wa dini Mombasa wanasema ukanda wa Pwani lazima uregeshewe mawaziri wake

  • | NTV Video
    472 views

    Viongozi wa dini mjini Mombasa wamemuomba rais William Ruto kutosahau wapwani katika baraza lake la mawaziri huku wakiwarai vijana kumwacha rais sasa atekeleze majukumu yake pamoja na kumpa nafasi kutimiza matakwa aliyompa.

    Subscribe to NTV Kenya channel for latest Kenyan news today and everyday. Get the Kenya news updates, discussions and other exciting shows.

    Website: ntv.nation.co.ke || Paper: Daily Nation || Twitter: @ntvkenya || Facebook: NTV Kenya || Instagram: NTV Kenya