Viongozi wa dini na kijamii wakutana

  • | Citizen TV
    126 views

    Viongozi wa jamii na wale wa kidini pamoja na wataalamu mbalimbali kutoka eneo la Gusii wameafikiana kuunganisha jamii hiyo, kwa lengo la kubaini mustakabali wake kwenye uchaguzi wa mwaka 2027