- 226 viewsDuration: 2:33Viongozi wa dini kutoka madhehebu ya Kikristo na Kiislamu katika Kaunti ya Nandi wameelezea wasiwasi wao kuhusu kuongezeka kwa joto la kisiasa nchini, wakisema hali hiyo inaweza kuhatarisha umoja wa kitaifa ikiwa haitadhibitiwa mapema.