Viongozi wa dini walalamikia ongezeko la matumizi ya dawa za kulevya miongoni mwa vijana

  • | K24 Video
    36 views

    Viongozi wa dini wamelalamikia ongezeko la matumizi ya dawa za kulevya miongoni mwa vijana hasa katika kipindi hiki cha likizo. Wakizungumza hii leo walipokutana na viongozi wa mamlaka ya kudhibiti matumizi ya mihadarati, nacada, viongozi hao kwa pamoja wameahidi kushirikiana katika vita hivyo.