Viongozi wa dini wataka vijana wa Gen Z kusitisha maandamano

  • | Citizen TV
    757 views

    Viongozi wa kidini wamewataka vijana wa rika la gen Z kusitisha maandamano ili kumpa rais muda wa kutekeleza masuala waliowasilisha wakati wa maandamano. Viongozi hao wanamtaka Rais Ruto kusikiliza sauti za vijana. Hali kadhalika, viongozi wa kidini kutoka pwani wamelalamikia hali ya kuachwa nje katika awamu ya kwanza ya uteuzi wa baraza la mawaziri.