Skip to main content
Skip to main content

Viongozi wa dunia waungana na Wakenya kumuomboleza Raila wakimtaja kama nguzo ya demokrasia Kenya

  • | Citizen TV
    13,220 views
    Duration: 3:48
    Viongozi mbalimbali wa ulimwengu wameungana na Wakenya kumuomboleza Waziri Mkuu wa zamani na Kiongozi wa ODM, Raila Odinga. Viongozi wa dunia wamemtaja marehemu Odinga kama nguzo kuu ya demokrasia na mfano wa kujitolea, wakimwelezea kama kiongozi aliyeweka maslahi ya taifa juu ya matamanio binafsi