Viongozi wa Embu wapinga kujumuishwa kwa hazina ya basari

  • | Citizen TV
    113 views

    Viongozi wa kaunti ya embu wamepinga mapendekezo ya kujumuishwa kwa hazina zinazotoa basari ili kuwawezesha wanafunzi wengi zaidi kufaidi na kuwapunguzia wazazi gharama ya karo.