Viongozi wa Ford Kenya kaunti ya Bungoma washutumu serikali ya Kenya Kwanza

  • | West TV
    316 views
    Viongozi wa Ford Kenya kaunti ya Bungoma wamejitokeza kuwakashifu baadhi ya mawaziri wa serikali ya kenya kwanza kwa kile wanachodai wamekua wakitoa ahadi gushi na maneno matamu tu bila mikakati yoyote ya kufanikisha maendeleo katika kaunti ya Bungoma