Viongozi wa Israel wafuatilia kuachiliwa kwa mateka waliokuwa wametekwa huko Gaza.

  • | VOA Swahili
    1,252 views
    Waziri Mkuu wa Israel Benjamin Netanyahu na Waziri wa Ulinzi Yoav Gallant wakifuatilia kuachiliwa kwa mateka waliokuwa wametekwa huko Gaza na Hamas tangu shambulizi ya tarehe 7 Oktoba.