- 353 viewsDuration: 2:07Viongozi wa jamii ya Endorois kaunti ya Baringo wametoa wito kwa Serikali ya Kenya kutekeleza uamuzi wa kihistoria wa mahakama ya Afrika uliotolewa mwaka wa 2010 na ambao uliamrisha kuwa jamii hiyo ifidiwe na kurejeshewa haki zake za ardhi baada ya kufurushwa kutoka maeneo yanayozunguka Ziwa Bogoria mwaka 1974.