Viongozi wa jamii ya kiisilamu watoa hamasa ya kupinga uepo wa LGBTQ nchini

  • | TV 47
    43 views

    Viongozi kutoka Dini ya Kiisalamu Kutoka eneo la magharibi na Uasin Gishu wamejumuika pamoja ili kuhamasisha umma kutokubali tabia za ushoga kuenea nchini.wakizungumza katika tamasha la maulid eneo bunge la kanduyi katika kaunti ya bungoma wakiongozwa na abubakar bini kutoka uasin gishu wamempongeza mbunge wa navakholo emmanuel wangwe kwa kusimama kidete na kuasilisha mswada wa kupinga mahusiano ya jinsia moja huku wakishtum mahakama kwa kuhalalisha vikundi vya mahusiano hayo nchini. __

    Thank you for watching this video. Kindly subscribe for more content from 'Home of The Untold Stories.'

    *About TV47* 'TV47 is on GOtv (Channel 102), DStv (Channel 268), SIGNET, Gotv, BAMBA and STARTIMES. __ For Breaking News, kindly subscribe by sending ‘NEWS’ to 22047. __

    Connect with us:

    Website: https://www.tv47.digital/ Facebook: https://www.facebook.com/TV47KE Twitter: https://twitter.com/tv47news Instagram: https://www.instagram.com/tv47ke/ TikTok: https://www.tiktok.com/@tv47_ke Telegram: https://t.me/tv47_ke WhatsApp: 0797 047 047 __