Viongozi wa jamii ya Maa wafanya mkutano kuhusu uhasama kati ya jamii za Irwa Shinkishu na Isiria

  • | Citizen TV
    93 views

    Viongozi wa Jamii ya Maa kutoka Narok, Samburu na Kajiado pamoja na wakuu wa usalama kutoka eneo la Bonde la Ufa wanafanya mkutano kufuatia uhasama baina ya jamii mbili katika eneo la Nkaararo-Enoreetet kama njia mojawapo ya kuleta amani. Mkutano huo pia umewashirikisha wazee kutoka jamii za Irwa Shinkishu na Isiria ambazo zimekuwa zikizozana.