Viongozi wa jamii ya Mulembe wadai kuchezewa shere ya Azimio la One Kenya

  • | West TV
    132 views
    Viongozi wa jamii ya Mulembe sasa wamejitokeza kunyoshea kidole uongozi wa muungano wa Azimio One Kenya Alliance kwa kile wanachodai kubaguliwa kwa uteuzi