Viongozi wa Kajiado waunga mkono uhamisho

  • | Citizen TV
    208 views

    Viongozi wa jamii ya maa katika kaunti ya Kajiado wamepongeza hatua ya serikali kuidhinisha uhamisho wa mbuga ya wanyapori ya amboseli kutoka kwa serikali kuu hadi kaunti ya Kajiado.