Viongozi wa kanisa katoliki wataka maridhiano Nchini

  • | Citizen TV
    267 views

    Haya yakijiri, Kanisa katoliki nchini limeitaka serikali na vijana kuridhiana, ili kuepuka mfarakano zaidi nchini. Maaskofu wakuu wa kanisa katoliki Anthony Muheria wa Nyeri na Philip Anyolo wa dayosisi ya Nairobi pia wakiitaka serikali kuhakikisha wanaothirika kwenye dhulma za maandamano wanafidiwa