Viongozi wa kanisa wataka wananchi kupewa nakala

  • | Citizen TV
    Huku mikutano za kupigia debe ripoti ya BBI ikiendelea kushika moto, viongozi wa makanisa wameitaka serikali kuwasilisha nakala za ripoti hiyo kwa wakenya ili wasome. Viongozi hao wanasikitishwa kuwa hadi kufikia sasa wanainchi hawajapata nakala hizo na hawana uwezo w akujichapishia kutoka mitandaoni.