Viongozi wa kaunti ya Narok wakashifu utumizi wa nguvu dhidi ya raia wa eneo la Olpisimoru

  • | NTV Video
    Baadhi ya viongozi wa kaunti ya Narok wamekashifu vikali kile wanadai ni utumizi wa nguvu kupita kiasi dhidi ya raia eneo linalokumbwa na machafuko ya kiukoo la olpusimoru. Subscribe to NTV Kenya channel for latest Kenyan news today and everyday. Get the Kenya news updates, discussions and other exciting shows. Website: ntv.nation.co.ke || Paper: Daily Nation || Twitter: @ntvkenya || Facebook: NTV Kenya || Instagram: NTV Kenya