Skip to main content
Skip to main content

Viongozi wa Kenya Kwanza wamkosoa Uhuru na Gachagua kwa madai ya kuendeleza vita katika vyama

  • | Citizen TV
    3,537 views
    Duration: 3:29
    Viongozi wa Kenya Kwanza Wamekashifu matamshi yake Rais Mstaafu Uhuru Kenyatta wakisema anaendeleza vita katika vyama ya kisiasa. Viongozi hao wamemtaka Uhuru asalie kimya kuhusu masuala ya kisiasa na akome kuingilia serikali mahuluti. Wakizungumza huko Busia, viongozi hao wamesuta Kiongozi wa DCP Rigathi Gachagua kuhusiana na matamshi yake ya hapo jana dhidi ya uongozi wa Rais William Ruto.