Viongozi wa Kenya Kwanza wampigia debe Rais Ruto

  • | Citizen TV
    2,388 views

    Viongozi wanaogemea upande wa seriklai wameendelea kumpigia debe rais William Ruto huku wakitoa hakikisho kuwa serikali itatekeleza miradi ya maendeleo iliyoahidiwa. Wakiongozwa na naibu Rais Kithure Kindiki, viongozi hao walitaja marekebisho yaliyofanywa katika sekta ya elimu ikiwemo nyongeza ya mishahara kwa walimu