Viongozi wa Kenya Kwanza wamtetea Rais William Ruto

  • | Citizen TV
    704 views

    viongozi wa kenya kwanza wamemtetea rais william ruto kwenye mpango wake wa kulipa karo kupitia mfumo wa e-citizen Wakizungumza katika hafla ya kuchangisha pesa za ujenzi wa bweni la shule ya upili ya wasichana ya Metkei kaunti ya Elgeyo Marakwet , viongozi hao wameikosoa mahakama kwa kutoa maamuzi yanayozuia utekelezwaji wa miradi ya serikali.