Viongozi wa Kenya Kwanza wapigia debe ujenzi wa nyumba

  • | Citizen TV
    496 views

    Viongozi wa Kenya Kwanza wameendelea kupigia debe mpango ya ujenzi wa nyumba za bei nafuu na ule wa bima ya afya