Viongozi wa Kenya Kwanza wasuta Azimio la umoja

  • | West TV
    Viongozi wanaoegemea muungano wa Kenya kwanza wameisuta Azimio la Umoja na baadhi ya wanachama wa ANC waliokigura chama hicho na kujiunga na ODM