Viongozi wa Kenya Kwanza wataka hatua kali kuchukuliwa walioingiza mbolea ghushi nchini

  • | Citizen TV
    502 views

    Viongozi wa Kenya wanataka kuadhibiwa kwa wahusika wa sakata ya mbolea ghushi nchini huku wakiwahakikishia wakulima kuwa kuna mbolea ya kuwatosha. Wakizungumza Wakizungumza katika harambee iliyoleta pamoja makanisa katika eneo la kisawai kaunti ya Trans-Nzoia, viongozi hao wakiongozwa na Gavana Ken Lusaka wa Bungoma na msaidizi wa rais Faruk Kibet wamesema serikali iko macho kuhusiana na swala hili