Viongozi wa Kenya Kwanza wataka maandamano ya amani

  • | Citizen TV
    4,418 views

    Viongozi wa mrengo wa Kenya Kwanza wanadai kuwa kuna njama ya upinzani ya kuwatumia vijana wa kizazi cha Gen Z kuandamana na kuzua Ghasia.