- 461 viewsDuration: 1:11Viongozi wa Kenya Kwanza wameelezea azma yao ya kufanya kazi na wakenya wote ili kufanikisha miradi ya serikali. Wakizungumza katika hafla mbali mbali viongozi hao walipigia debe muungano baina ya rais William Ruto na kiongozi wa KANU Gideon Moi ambao walisema ni hatua ya kwanza ya kuunda uwiano na misingi dhabiti wa siasa za 2027