Viongozi wa kidini katika mji wa Madogo, Tana River walalamikia unyakuzi wa ardhi ya msikiti

  • | Citizen TV
    251 views

    Viongozi wa kidini katika mji wa Madogo kaunti ya Tana River wanalalamikia unyakuzi wa ardhi ya msikiti na watu fulani ambao sasa wamejenga vibanda vya kibiashara.