Viongozi wa Kidini sasa wamshutumu Rais William Ruto kwa Ushuru Kali bila mpangilio

  • | West TV
    105 views
    Viongozi wa kidini kaunti ya kakamega wana wasiwasi kuhusu ada ya vyeti mbali mbali inayoratibiwa kuwekwa na serikali kwa wana ndoa wakisema hali hii itasababisha kuzorota kwa maadili ya kijamii