Viongozi wa kidini Trans Nzoia wajitolea kuwapatanisha gavana wa na Spika wa bunge la taifa

  • | West TV
    209 views
    Viongozi wa kidini na wazee wa jamii ya luhya kaunti ya Trans Nzoia wamewataka gavana George Natembeya na spika wa bunge la taifa Moses Wetangula kuacha kulumbana hadharani wakisema wako tayari kuwapatanisha kwa manufaa ya umoja wa jamii hiyo.