Viongozi wa kidini waazimia kupinga mswada wa kudhibiti makanisa

  • | KBC Video
    44 views

    Viongozi wa kidini katika kaunti ya Busia chini ya mabaraza tofauti wameazimia kujiunga na wenzao kutoka humu nchini kupinga mswada wa mageuzi katika makundi ya kidini wa mwaka 2024. Wanataja mswada hupo kama inaolenga kuyaadhibu makanisa na kuvuruga shughuli za kidini humu nchini.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #kbcchannel1 #news #kbclive