Viongozi wa kidini wakosoa uteuzi wa baadhi ya mawaziri wa zamani kwenye baraza jipya la mawaziri

  • | Citizen TV
    656 views

    Viongozi Wa Kidini Nchini Wameonekana Kukosoa Uteuzi Wa Baadhi Ya Mawaziri Wa Zamani Kwenye Baraza Jipya La Mawaziri. Aidha, Baadhi Yao Wakiwataka Wabunge Kufanya Jukumu Lao Kwa Uadilifu Wanapowapiga Msasa Mawaziri Wateule. Na Kama Willy Lusige Anavyoarifu, Viongozi Wa Kievenjelisti Sasa Wanataka Vijana Pia Kusitisha Maandamano Na Kuzungumza Na Rais