Viongozi wa kidini wataka Ruto na Raila wazungumze

  • | Citizen TV
    5,110 views

    Nao viongozi wa kidini nchini wameendelea kumrai Rais William Ruto na kinara wa Azimio Raila Odinga kufanya mazungumzo ili kurejesha umoja na uwiano nchini. Viongozi wa kidini wameendelea kuhubiri amani kwenye ibada ya leo, huku wazee wa baraza la Kiluo limemtaka Ruto na Raila kukomesha malumbano ya kisiasa yaliyosababisha vifo vya takriban watu 30,