Viongozi wa kidini wataka siasa kusitishwa

  • | Citizen TV
    704 views

    Viongozi wa kidini kaunti ya Nandi wametawaka wanasiasa kuacha siasa na badala yake kuangazia kutekeleza ahadi walizotoa wakati wa kampeni za uchaguzi.