Viongozi wa kidini wataka tume ya IEBC ilainishwe

  • | KBC Video
    37 views

    Viongozi wa kidini wakijumuisha wale wa baraza la kitaifa la makanisa, baraza la maaskofu wa kanisa katoliki humu nchini na baraza kuu la waislamu wanataka kuharakishwa kwa mchakato wa kuwaajiri makamishna wa tume ya uchaguzi na mipaka ili kuepukana na mzozo wa kikatiba unaoweza kutokea.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #kbcchannel1 #news #kbclive