Viongozi wa kidini wataka uhalifu uangamizwe kabisaa Mombasa

  • | Citizen TV
    235 views

    Viongozi Wa Kidini Kutoka Mombasa Wanataka Maafisa Wa Usalama Kukabiliana Na Wahalifu Ambao Wamekuwa Wakihangaisha Wakaazi. Wakiongea Huko Chaani Ambapo Walikongamana Kutafuta Mikakati Ya Kuhubiri Amani Na Ushirikiano Na Maafisa Wa Polisi Viongozi Hao Wametaka Wazazi Kuwajibika Na Kudhibiti Mienendo Ya Watoto Wao Mara Kwa Mara.