Viongozi wa kidini wataka vijana kuyapa mazungumzo nafasi

  • | Citizen TV
    942 views

    Makasisi na baadhi ya vijana wa Gen Z katika kaunti ya Samburu,wametoa wito wa kusitishwa kwa maandamano na kuyapa mazungumzo ya kitaifa nafasi ili kuafikia mwafaka utakaozima maandamano ambayo yameendelea kwa zaidi ya mwezi mmoja na kusababisha uharibu,majeruhi na mauaji ya watu 50.